Natafuta msaada wa kupata kazi ya kufundisha katika shule za O level na Advance

leeh ney

Member
Sep 12, 2018
25
11
Hello wakuu wa jf Leo nimekuja natafta msaada wa kupata Kaz ya kufundisha katika shule za O level NA Advance.
Ninao uwezo wa kufundisha somo la BIOLOGY pamoja NA geography.
Elimu yangu n shahada ya kwanza nimemaliza mwaka huu chuo.

Kwa anayehitaji ama anafahamu shule yoyote yenye uhaba wa masomo tajwa naomba anisaidie.
NB: Niko kwa sasa Dar es salaam NA niko tayari kufanya Kaz popote Tanzania.
Asanten sana!!
Kwa yeyote mwenye kujua naomba uni pm ili iwe rahisi kuwasiliana nawewe.
 
Back
Top Bottom