Habari wana jamii forum, nimepatwa na tatizo la kifamilia na ni urgent naitaji ushauri, mwenye kujua mawasiliano au mtu yeyote wa ustawi wa jamii naomba unipm tafadhali
Habari wana jamii forum, nimepatwa na tatizo la kifamilia na ni urgent naitaji ushauri, mwenye kujua mawasiliano au mtu yeyote wa ustawi wa jamii naomba unipm tafadhali
Duhh !!!! Mkuu maisha yametawaliwa na ajali nyingi. Sana ".... yatupasa tujitahidi kujifunza kutowahukumu kutokanw na mitihani inayo wafika .. kwa sababu hatujui sababu haswaa iliyo wapelekea wao kufikia hatua hiyo ni ipi !..
Ustawi wa jamii ni taasisi ambayo ipo kwaajili ya kutatua changamoto zinazo wazunguka watu .. waliamua kufanya hivyo baada ya kugundua kwamba maisha ya mahusiano yana changamoto kubwa sana ...changamoto ambazo laiti kama hazito tafutiwa ufumbuzi zinaweza kugharimu uhai wa mtu/watu ... au kupelekea taifa kuwa na watu waliokosa haki zao za msingi katika maisha yao .. taifa pia linaweza kupata watu waliofikwa na kichaa baada ya kuandamwa na msongo mkubwa wa mawazo " yaliyo sababishwa na hitilafu ya mahusiano