Nimepimwa hospitali na kuthibitishwa ya kwamba nina matatizo ya uzazi, yaani siwezi kuzaa labda kwa IVF(mishipa ya kusafirisha mbegu za uzazi kutoka kurodani zinakozalishwa kwende kwenye tezi zinazozalisha yale maji maji yanayosafirisha mbegu za uzazi mpaka kwenye mji wa uzazi wa mwanamke zimeziba).