Natafuta mpenzi

We buyu kweli, si umtafute UK huko au US! Au ungeandika kwa kiingereza basi.

Sent from my guitar using JamiiForums

uk abapajua?jamaa yuko mkuranga na kidhungu hajui anataka sifatu.kweli mtu mwenye upeo ataposti utumbo huu
 
Nakushauri kama awe anaongea kiingereza fluently badili tangazo weka kidhungu ili nawe tujue ukimpata utaweza kuongea nae??au utakuwa unajibu baadhi tena kiswahili
 
hahahahaaa, we jamaa ni kilaza wa mapenzi aisee. Unaandika 'kishujaa' hivyo afu upate 'demu' kweli wa maana??!! labda upate 'muuzaji' tu. Anyway... all the best of success in your hunt.
 
ha ha ha ha ha JF raha sana. Kwenye mapenzi hakuna ha lugha ni vitendo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom