KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,765
- 39,522
mtani acha tu yani alafu nauli ya wapi huko?
Inawezekana ni nauli ya nje ya nchi mtani si unamuona mtuma maombi alivyo kama chotara....???......
mtani acha tu yani alafu nauli ya wapi huko?
wee fanya k[ama una M-PM mleta uzi ndo utajua kasi gani
hata tigo pesa hiyo hela haitoki
Hahahaaaa.. Mouth concete..domo zege
asije akageuza housegirl mimi huko kwa watu bora home naweza pewa lifti kwenye gari... kwenye ndege kupewa lifti ni ngumuInawezekana ni nauli ya nje ya nchi mtani si unamuona mtuma maombi alivyo kama chotara....???......
Mtani kwa jinsi jamaa alivyo siriazi hawezi akatuma coins....bhana......
asije akageuza housegirl mimi huko kwa watu bora home naweza pewa lifti kwenye gari... kwenye ndege kupewa lifti ni ngumu
aisee basi anitumie madolari
Naona unachangamkia fulsa mdada....hahahaaaaa
Lol siunajua tena aside sema atatoa nauli kumbe anaka Mbagala...