Natafuta mpenzi

EXPENSIVE ONE

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
8
Reaction score
2
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
 
Expandables........we Wakike au Wakiume? Kila la kheriii
 
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!

Na 'KUMWOFU'naamini huu ni msamiati mpya kabisa..!
 
hivi mnayachukuliaje mapenzi? mpenzi hatafutwi anakuja naturally hutokea kama ajali hukupanga hukutegemea, but at first sight utajua tu kuwa huyu ndo wako bila kujali vile alivyo NOTE: Ukiwa na swaga kama avatar yako utaishia kutendwa
 
Weeh tulia tuu best, humu kupata ni vigumu sana sana utaishia kuzinguliwa tuu pipo don want their tru identities to be known here ila sikuvunji moyo, mapenzi yanakuja yenyeweee hayakimbizwi they say "luv is lyk a butterfly stop chasing it, stand stil it wil come to u".
 
Utapata tu...ila usirudi kutulilia humu
 

it seems you are good adviser! thanks much
 

its ok
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…