Natafuta Mpenzi baadae awe mke wa kuoa. Umri wangu ni miaka 33, mfanya biashara, mkristo, Elimu Chuo kikuu.
Sifa za mke:
Elimu yoyote iwe la saba au chuo kikuu.
Sipendi mwanamke mlevi
Umri: 20-30
Awe na kazi ya kufanya, kama hana awe tayari kufanya kazi ama biashara(Mwanamke mchapakazi)
Dini : Mkristo.
Karibu Pm.