gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Hahahaha post #10 inakuhusuKaribu Dada, njoo Pm .Mungu akubariki Sana.
Hahahaha post #10 inakuhusuKaribu Dada, njoo Pm .Mungu akubariki Sana.
Hovyo sana majitu ya namna hiiWatu kama hawa wanachezea akili zetu, mods fungia huyu
Wewe jamaa ni mtafiti sana umemuumbua huyu gumegume labda anazo mbiliNatafuta msichana kwa malengo ya kuanzisha familia pamoja
Ña hii ni yako pia
Ww ni balaa jinsia yako inabadilika kila baada ya mwezi
mubashara...!!¡Hahahaha pashukuna hili aisee
MamboHahahaa! Na wapo wamejaa teleee
Katika ubora wao

Yap yap kaka nilimuona mtoto m little hukuHahahaa! Ushafika huku..
Kulinda nini tenaNapiga dolia
Unaacha upepo tu
Nimeshindwa kuelewa hata tutapewa mrejesho akirejeaAlafu sijaona comment ya kupewa ban hapo! Au mimi naona vibaya
Maybe sio kwenye uzi huuwanasema wameingiza vitu visivyotakiwa kwenye thread ya mtu mwingine Ila kama hayuko serious yy mwenyewe je!
tehe tehe tehe nimesomaSoma post #10