Pm umeziona au unazichunia?Naitwa Daniella lyimo na umri wa miaka 23 , nimrefu so saana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani kilimanjaro
> VIGEZO VYA MWANAUME NINAYE MTAKA
>Awe na miaka kuanzia 27 hadi 38 asiwe mwembamba wala mnene awe wa wastani, rangi yotote mweupe,mweusi, choculate sawa
>Asiwe mchaga kabila nyingine sawa
>Awe na mapenzi ya dhati
>Elimu yoyote... Akipatikana anitafute namba nitatoa kidogo awe na mvuto jamaniee
Mimi ni Mromani katoliki pyua tuna match etiJamaniee dini nimesahau mi mkristo but km akipatikana wa dhehebu lolote Au dini nyingine Hamna tutaongea
Vitapatikana tu Hata kama vya kuazima ,Vigezo unavyo??