Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Weka picha ukiwa umesimama, ya kwanza uangalie mbele ya pili uangalie nyuma, Thanks in advance
Vigezo na Mashart Kuzingatiwa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nilimpenda mwanzo kwa mambo anayonifanyia cmuitaj tena
We mama, hebu baki na huyo mzazi mwenzio aiseeee......
Sisi tuliopo huku kitaa ndio kwanza hatufai na utulivu wetu ni zero.
Kumbuka ule usemi wa zimwi likujualo halikuli likakumaliza, na ogopa sana usije ukaruka kojo na kukanyaga mavi.
Ukiona nimeamua kutafuta ujue nimechoshwa
 
maana hata mtu akifuatwa pm anajbu kidogo harafu hakujibu tena
 
huyu ata tawanywa miguu, kisha atakuja na uzi mwingine wenye heading ya (OGOPA WANAUME WA JF)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hayuko siriaz ayseee kama yuko serious atawapata
 
Ntajie udhaifu wako...' Yani tabia mbaya zako.! Naanza na hizi zingine utajazia.... ,1. unapenda maisha ya juu, bata, vitu vya thamani, na kuongwa pesa wakati huyo bwana ako ajiwezi
2.wewe ni kicheche
Na ww ndo mtazamo wako na akili yako fupi
 
Back
Top Bottom