Natafuta mpenzi wa miaka 18-22

Hahaha kaka mm sio domo zege jiulize 22 yrs nimeshachoka mapenz ya magumashi nina malengo kaka,ww kama huna endelea kusubr.
Ushauri wa bure, ndg huwezi ukapata right choice kwenye mtandao, na kutafuta dem kwenye mitandao ni dalili ya uoga wa kuaproach wasichana. jiamini kijana, na mwanamke makini huwa anataka mwanamme anayejiamini na kueleza kinagaubaga live siyo kwenye screen saver. mi naona kama wanakuchora tu kaka, kama kweli unatafuta mchumba anza kutafuta physically na sio ellectronically.
 
najiamini, nimekuelewa
 
Naona vijana wanakua vibaya. Dawa yao ni kuwapeleka jela kuwafundisha tabia nzuri.

Nampiga mtu BAN within 5 minutes!
 
Nashukuru kwa wachache walionipa ushauri, vilevile nashukuru kwa walioanza kuniporomoshea matusi. Nawatakia maisha mema Tz. CLOSED
 
Nahisi utakuwa umeshapata fundisho na najua hujapata bado vinuka mkojo na umeshakimbilia fb huko ndo kwenyewe utawapata wengi tu
vizuri kuiclose topic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom