Natafuta mpenzi (wa kike)

UserX

Member
Sep 4, 2014
11
2
I am a christian young man in my late twenties. I am looking for a girlfriend with future aims in life if everything goes well with us.

Minimum education: diploma
Age: at least 24 and no more than 29 years

Drop me a PM if interested and you will get to know more.
 
Kuna cousn angu yupo Feza girls, n mrembo sana na anahtaji commted by kama ww ila sharti uwe mrembo pia.
 
Mmhhhh!! Humu kweli kuna watu huwa wanafanikiwa? Mwenye ushuhuda aje.
 
Mmhhhh!! Humu kweli kuna watu huwa wanafanikiwa? Mwenye ushuhuda aje.
mkuu watu wanapata,kuna mtu alifanikiwa na sasa wana miaka miwili kwenye ndoa,nawafahamu nami navuta kasi ila mfano ninao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom