Natafuta mpenzi wa kike nimedhamilria

Natafuta mpenzi wa kike nimedhamilria

hajavurugwa,ila sema tu hawazi kumshawishi mwanamke hadi akubali tena kwa ridhaa yake kuivua chupi yake.!yahitaji moyo.

Ni vema ukajua Jamii Forum ni mtandao unaosomwa na watu wa rika tofauti, watu wa silka tofauti. Tumia lugha zilizovaa nguo kidogo ili tukuheshimu na tuheshimu mawazo yako. Haya maneno ya kijiweni hayafai kwa great thinker kama wewe. Sorry kama nimeingilia uhuru wako mkuu.
 
hapana Rasenka hajavurugwa mimi mwenye mbona natafuta mpenzi wa kiume ninge PM maana vigezo vyote ninavyo ila tu sijajua vigezo ninavyovitaka mimi yeye anavyo?
 
Yani umri wako kwa mwanaume bado unakula kamasi na kunuka mikojo hebu kua kwanza...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom