Natafuta mpenzi wa kike nimedhamilria

Natafuta mpenzi wa kike nimedhamilria

philosophy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
104
Reaction score
42
Kwa mara nyingine narudia kusisitiza kuwa niko peke yangu ni mwanaume,umri 23,natafuta mpenzi wa kike nitakayeishi naye, nimechoka kuwa pekee. Nahitaji mdada mzuri mwenye umri usiozid miaka 25,na usipungue 19. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha 4, mwelewa na mwenye busara,urefu wa futi 5-6, asiwe mbaguzi wa dini ama kabila. Heshima ni kitu cha muhimu sana na ni sifa ya kipekee.Asiwe mwenye kupenda kwa sababu ya kitu fulani. Apende kwa sababu amenipenda mimi kama nilivyo. Kwa mawasiliano: FACEBOOK,TWITTERBADOO,(Alcheraus Mushumbwa). E-MAIL: alcherwega@ymail.com/zizoutego@gmail.com
VIGEZO NA MASHARITI KUZINGATIWA
 
Kweli watu tumejipanga kutangaza nia.
Ukimpata usisahau kunialika kuja kula wali mchafu.
 
Mke mwema mwema anatoka kwa Mungu sio kwenye mitandao. Huku unaweza kupata mwanamke lakini sio mke mwema. Mwombe Mungu kama uko serious; Mungu atakupa mke mzuri anayefanana na wewe. Hivyo vipimo na sifa ulizoziweka ni mtazamo wa kibinadamu tu. Anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini kama hakutoka kwa Mungu kwa ajili yako atakuwa mwimba mchungu katika ndoa yako. Hapa ndipo utagundua uzuri wake wala vigezo vya kibinadamu havisaidii kuamua ndoa yenye furaha na amani. Mungu akubariki na akupe mke mwema.
 
Hivi umeshindwa kabisa kutafuta mke anayekufaa had kutafuta humu?Nahisi umevurugwa..
 
Suku idhi kuna wanayoita bufeee...kababu ..sambusa...minyoo a.k.a tambi ...vyuku vyuku....na mie sitaki kukosa aisee... :lalala:
 
Hapo ndo mnapopotea nyie waoga wa maisha ...nani kakwambia Mungu dictator kiasi icho? Mungu katupa mamlaka ya kuchagua na kumshirikisha katika mambo yetu. .na unajueje kama jamaa ajamwomba Mungu mpaka anakuja jf kutafuta mwenza???. Lov3 popote inazaliwa ...its a matter of choice. ..unaeza ukaenda church ukapata galasa,,afu club ukapata compatibility yako ukajilia vyombo vyako raha mustarehe maisha yakanawili.
 
Jamani mwacheni mtu afanye yake msimkatishe tamaa kiasi icho...vibaya ivyo... philosophy kila la kheri ...
 
Last edited by a moderator:
Suku idhi kuna wanayoita bufeee...kababu ..sambusa...minyoo a.k.a tambi ...vyuku vyuku....na mie sitaki kukosa aisee... :lalala:

Mbona sioni mwitikio kwa akina dada?

Au wanamalizana PM?
 
kwa mara nyingine narudia kusisitiza kuwa niko peke yangu ni mwanaume,umri 23,natafuta mpenzi wa kike nitakayeishi naye, nimechoka kuwa pekee. Nahitaji mdada mzuri mwenye umri usiozid miaka 25,na usipungue 19. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha 4, mwelewa na mwenye busara,urefu wa futi 5-6, asiwe mbaguzi wa dini ama kabila. Heshima ni kitu cha muhimu sana na ni sifa ya kipekee.asiwe mwenye kupenda kwa sababu ya kitu fulani. Apende kwa sababu amenipenda mimi kama nilivyo. kwa mawasiliano: Facebook,twitterbadoo,(alcheraus mushumbwa). E-mail: alcherwega@ymail.com/zizoutego@gmail.com
vigezo na mashariti kuzingatiwa

na wewe umpende kama alivyo. Kama wewe una vigezo basi ujue na yeye ana vigezo nyake. N:b. Wewe ukoje zaidi ya umri wako??????????
 
Hapo ndo mnapopotea nyie waoga wa maisha ...nani kakwambia Mungu dictator kiasi icho? Mungu katupa mamlaka ya kuchagua na kumshirikisha katika mambo yetu. .na unajueje kama jamaa ajamwomba Mungu mpaka anakuja jf kutafuta mwenza???. Lov3 popote inazaliwa ...its a matter of choice. ..unaeza ukaenda church ukapata galasa,,afu club ukapata compatibility yako ukajilia vyombo vyako raha mustarehe maisha yakanawili.

Kwa sababu nimekutambua sina sababu ya kubishana na wewe. Mimi nimemshauri aliyekuwa anataka ushauri. Kwani na wewe unatafuta mke?
 
Ungeona nimeanzisha uzi hapa kwamba natafuta mke... kwa sasa natafuta pesa.
 
Basi wewe tafuta fedha achana na mambo ya Mungu. Yatakuja mambo ya kutafuta pesa utachangia mana utakuwa na mchango bora zaidi ya huu. Nisikie ndugu yangu, kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi.
 
Umeweka vigezo vya unaemtaka vyako hujaweka weka na wasifu wako utapata unaemtaka. Awe hv awe vile na we ukoje?
 
mawazo mazuri lakin mm ctafuti mke..alafu huko ni kumuonea mungu,kila kitu yeye wakati katupa akili tuitumie
 
Hivi umeshindwa kabisa kutafuta mke anayekufaa had kutafuta humu?Nahisi umevurugwa..

hajavurugwa,ila sema tu hawazi kumshawishi mwanamke hadi akubali tena kwa ridhaa yake kuivua chupi yake.!yahitaji moyo.
 
Miaka 23?!!!! Nakushauri kua kua kwanza ndo utafute majukumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom