Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,581
- 5,562
Kama ilivyo Ada.......kaburi la Baba mtoto ndio CV ya Kwanza.......nimekupenda Bure.......huna masharti mengi wala nini........
anataka hela za kumtunza chalii ...kucare+kupenda haswaaah[emoji3]
jaman mm ninavyojua, upendo huja automatically wala hakuna anaejua na asiejua.au siyo!
[emoji16][emoji16][emoji16]Ni wewe TU hujaelewa iyo code[emoji4]
Nn ww [emoji41][emoji41][emoji41]
Jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jf humu dahUngeweka na picha ya kaburi la huyo mzazi mwenzio,ungetupunguzia maswali
Swali konki hili, ukiwauliza wanaotafuta wenza (jinsia ke) watakupopoa.Zaid ya ngono,
Ni kitu gan Cha ziada nawe utaoffer kwnye hayo Mahusiano
NoopeNn ww [emoji41][emoji41]