Sio mtoto watotoMmmh una mtoto??
Kila la kheri mkuuSifa zake
● Awe mrefu kiasi
● Umri kuanzia miaka 28 hadi 31
● Awe muajiriwa au amejiajiri
●Dini yeyote.
● Kabila lolote
Sifa za mtafutaji
●Mrefu mweusi kiasi
●Mpole kiasi
● nimejiajiri
●umri miaka 29
mawasiliano pm ipo wazi
Akipatikana maeneo haya ni sawa Geita, Mwanza na Dar es salaam
Pm yangu huwa ina sumbua nipe namba yako nikupigieNjoo pm kwanza
E-mail address; saloomrweyongeza@gmail.comPm yangu huwa ina sumbua nipe namba yako nikupigie
Mkigombana mje msemeE-mail address; saloomrweyongeza@gmail.com
Hazijakidhi mkuu, kila la kheri utapata sahihiCv zako tafadhali
We shida unaitaka mwenyew ungekuwa ushapata experience ya haya mambo 😂Kila la kheri, mlete mrejesho mtutie moyo na wengine
Kwa nani?We shida unaitaka mwenyew ungekuwa ushapata experience ya haya mambo 😂
Nina watoto watatu uyu wa mwisho baba yake yupo na mtoto bado ana nyonyaE-mail address; saloomrweyongeza@gmail.com
Mzinguaji wewe,mtu kaonyesha kakukubali ivyo bado unaleta visingizio.Nina watoto watatu uyu wa mwisho baba yake yupo na mtoto bado ana nyonya