Natafuta mpenzi muaminifu

Natafuta mpenzi muaminifu

nyamirambaro

Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
9
Reaction score
0
Habari,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25 natafuta mpenzi ambaye yuko tiale kupima UKIMWI

Kama uko tiari ni pm
 
Bora ukatafutie google. wa humu hawapo tiale kupima uzito.
 
Tiale??
Tiari??
Madhara ya division 5
 
Habari,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25 natafuta mpenzi ambaye yuko tiale kupima UKIMWI

Kama uko tiari ni pm

hapo kwenye kupima ndo umejipunguzia idadi ya PM...
kwani walio wengi wana jijua mienendo yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom