irakiza Member Joined Jan 26, 2015 Posts 99 Reaction score 20 Jan 2, 2017 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye uhitaji wa mpenzi/mchumba.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye uhitaji wa mpenzi/mchumba.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,634 Reaction score 870,319 Jan 2, 2017 #2 Nakuombea lakini pls uwe serious na ukishapata usisahau kuleta mrejesho
geosally Member Joined Dec 20, 2016 Posts 44 Reaction score 20 Jan 2, 2017 #3 Mwaka huu ukiisha wadada hamjaolewa mna yenu watu wanawatafuta mpaka jf. Poa mkuu nakuombea interview njema maana nahic watakuja wengi
Mwaka huu ukiisha wadada hamjaolewa mna yenu watu wanawatafuta mpaka jf. Poa mkuu nakuombea interview njema maana nahic watakuja wengi
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 281 Jan 2, 2017 #4 angalia yasije kukuta yaliyowakuta
Ruqaiyah JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 1,119 Reaction score 1,484 Jan 2, 2017 #5 Mnaweka matangazo lakini mnasahau kuweka picha.....
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Jan 5, 2017 #6 Mmmm mwaka umeanza na kasi ya ajabu
BangiNyeusi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 490 Reaction score 594 Jan 5, 2017 #7 Kila lenye kheri mkuu