Naomba kujua kwa dar es salam wapi au duka gani naweza pata motherboard ya hp pavilion g6. Msaada wenu jamani wangwana. Ikiwezekana na mawasiliano mnipe kabisa
Naomba kujua kwa Dar es salam wapi au duka gani naweza pata motherboard ya hp pavilion g6. Msaada wenu jamani wangwana. Ikiwezekana na mawasiliano mnipe kabisa