Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
me ninayo ambayo sio ya aitel ila inaingia line yoyote ya nchi yoyote, ina speed kubwa sana, na inapiga na kupokea simu na sms!! bei 150,000
Nahitaji Modem zile za ZAIN
zenye call facility yan zina uwezo wa kupiga sim (voice call)at the same time inatumika kwenye pc!!! yeyote aliyenayo plz i need it.
Ebu elezea kipi cha ajabu mpaka iuzwe 150k!
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda pzina 3G
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda zina 3G
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda zina 3G
nchi gani ina technology ya 9G? kuna nchi nyingi tu za ulaya hata 4G hazina seuze 9G.
na ya nini kununua modem hiyo wakati speed hiyo huwezi pata hapa nyumbani
tatizo unazijua za kibongo ambazo kila mtandao inatengeneza ya kwako mpaka uchakachue ndo uweke line nyingine. mimi nilitoka nayo italy na nimenunua usd 55, ukiweka yako ya 3G na nikiweka yangu then tukaanza kutumia pamoja ndo utaona tofauti ya speed hapo!! inakonect kwa 100.00Mbps wakati ya 3G inakonect kwa 16 - 22Mbps
Point of correction . Inaitwa "moderm"
Mkubwa acha kuongopea watu, kwanza hapa bongo mtandao wenye speed zaidi ni smile na wao hata mb 50/sec hupati.
Ndiyo hiyo 9G mkuu acha kamba zako hakuna network yenye 9G hata 5G bado ndiyo tuko kwenye 4G.
Uki unlock modem ni universal tayari haijalishi ilikuwa ya voda au airtel na hakuna modem inayotengenezwa tanzania zote zinaletwa toka nje.
mkubwa mimi ni analogia lakini wewe ndo umekosea inaitwa modem..kama unabisha kaangalie katika kamusi au ingia hapa Modem - Wikipedia, the free encyclopediaPoint of correction . Inaitwa "moderm"
njoo pm nikupe maujuzi kwa hiyo hiyo modem uliyonayoNahitaji Modem zile za ZAIN
zenye call facility yan zina uwezo wa kupiga sim (voice call)at the same time inatumika kwenye pc!!! yeyote aliyenayo plz i need it.