Mpole sana
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 527
- 110
hata perdiem ya serikali haiko hivyo aisee ni kubwa kuliko hiyo, sembuse kazi ya kujidhalilisha hiyo? na 80% ya mamodo wa kiume huishia kuwa wanaume wasioeleweka! too sad.Ninatauta model wa kiume ambaye ata fanya kazi kwa siku tatu kwa malipo ya 60,000 kwa siku kwa muda wa siku tatu .kazi atakayo shughulika nayo ni kupigwa picha za ufukweni .vigezo vinajulikana kwa yoyote anaye fanya kazi hii, ila pia kama uta tuma picha kwenye mesg itakua vizuri Zaidi.
Suala ni kazi sio kujidhalilishahata perdiem ya serikali haiko hivyo aisee ni kubwa kuliko hiyo, sembuse kazi ya kujidhalilisha hiyo? na 80% ya mamodo wa kiume huishia kuwa wanaume wasioeleweka! too sad.
PIcha zita kua mali ya mteja , ni picha kwa matangazo ya nguo za kuogelea za kume .Umesema atapigwa picha..then hizo picha mnazipeleka wapi..na zitakuwa mali yake au mali yenu..na atavaa nguo za kiume au zakike..msije mkawavalisha nguo za kike vijana wetu kWa kisingizio mnawapa ajira kama yule jamaa aliyevalishwa high hills za kike.
hiyo sio kazi ya wanaume mzee, hivi kweli mwaname kabisa anayejijua yeye mwanaume anasimama mwenzie ampige picha kama kazi? samahani kama nitakuwa nimediscourage biashara yako lakini nina negative attitude against hayo mambo!Suala ni kazi sio kujidhalilisha
hiyo sio kazi ya wanaume mzee, hivi kweli mwaname kabisa anayejijua yeye mwanaume anasimama mwenzie ampige picha kama kazi? samahani kama nitakuwa nimediscourage biashara yako lakini nina negative attitude against hayo mambo!
Nguo za kuogelea wanaume?? hizi bukta na singlend au kuna zingine?PIcha zita kua mali ya mteja , ni picha kwa matangazo ya nguo za kuogelea za kume .
Ana kibamia na tumo , hatapendeza kweny boxerMtafute lemutuz
Shem wangu kashauri hivi hapa chini, so le Mutuz hatofaaMtafute lemutuz
Namshauri huyo model ajitokeze mwenye tango, yasijemkuta ya idris sultan na tangazo la boxer
Ana munekano wa kike hafaimtafute j.delicious
Njoo tuongee biashara dau lina weza ongezeka kama ni una vigezo vya kutosha...michezo yako tunaijua,
..kwahiyo ongeza dau 'bibie'