Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Mkuu nikitaka kumi utaniuzia ?
Niko Dar, magunia yanakilo ngapi ?
binafsi pia nilipenda kuja na mtazamo tofauti, kama kuna mtu ana mahindi na hana soko binafsi nafanya agroprocessing ya unga na niko mikoa ya kada ya ziwa, kama kuna mtu mwenye mzigo mkubwa binafsi naweza kutoa offer kama ifuatayo, ntakupa sehemu ya kuweka mzigo wako, ntatoa usafiri wa kusafirisha hadi eneo langu la kazi, hata hivyo mwenye mahindi atahuza mzigo wake kwa bei ambayo alipanga kuuza kwa jumla, binafsi ntahitaji gharama ndogo ya processing na packing baada ya kuuza, mfano wewe umepanga kuuza gunia elfu 40,000 lakini baada ya processing na packing likauzwa mfano kwa Tzs 55,000 hapo utachukua chako Tzs 40,000 na zile Tzs 15,000 itakuwa ndo malipo yangu kwa maana ya gharama usafirishaji, gharama ya processing and labour cost, kazi kwenu kwa wenye stock ya mahindi na hujui uyauze wapi.
Mkuu nikitaka kumi utaniuzia ?
Niko Dar, magunia yanakilo ngapi ?
hello colleague,
pole sana brother, kwa ujumla itakuwa ngumu kwani huo ni mzigo mkubwa na unahitaji bulk cash, mbali na ilo bado price yako kidogo ipo juu sana ukilinganisha na bei zilizopo huku kwa sasa, hapa Mwanza mahindi yanafika kwa bei ya Tzs 36,000 ya ujazo wa kawaida while ujazo mzuli kuanzia kg 115 hadi 123 inafika kwa Tzs 40,000, watu wanachukua mzigo jirani Tabora bei ya jumla pale mjini ni Tzs 30,000 kwa gunia la kg 108 wakati ukisogea pembeni kijijini bei ni Tzs 24,000 hadi Tzs 18000, angalia kwani msimu watu wamenza mafuno mapya ya msimu huu hayo kidogo yatapunguza bei pia.
kwa ushahuri wa bure embu yaweke dawa ili yawe salama, then keep in touch, my cell -0784 939254 na pia 0767 780004 tunaweza hapo baadae kufanya kazi sir.niweze kujua pia number yako na pade zipi unapatikana.