Nchiyanguu JF-Expert Member Joined Sep 3, 2021 Posts 319 Reaction score 623 Jul 9, 2023 #1 Habari za weekend wana Jukwaa, Nimelima mahindi mkoa wa Pwani Wilaya ya Chalinze, natarajia kuvuna mwezi huu wa 7. Nitapata zaidi ya magunia 30. Hivyo nipo hapa kama naweza pata mnunuzi.
Habari za weekend wana Jukwaa, Nimelima mahindi mkoa wa Pwani Wilaya ya Chalinze, natarajia kuvuna mwezi huu wa 7. Nitapata zaidi ya magunia 30. Hivyo nipo hapa kama naweza pata mnunuzi.
Luv JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 2,740 Reaction score 6,116 Jul 9, 2023 #2 Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa? Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili.
Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa? Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili.
M Milles Montego Member Joined May 31, 2021 Posts 96 Reaction score 287 Jul 9, 2023 #3 Unauzaje nna mashine dar itakua rahis na chalinze ni karibu
Nchiyanguu JF-Expert Member Joined Sep 3, 2021 Posts 319 Reaction score 623 Jul 9, 2023 Thread starter #4 Milles Montego said: Unauzaje nna mashine dar itakua rahis na chalinze ni karibu Click to expand... Karibu sana mkuu. Gunia natarajia kuuza 90,000 (kilo 100). Navuna jumamosi inayokuja
Milles Montego said: Unauzaje nna mashine dar itakua rahis na chalinze ni karibu Click to expand... Karibu sana mkuu. Gunia natarajia kuuza 90,000 (kilo 100). Navuna jumamosi inayokuja
Nchiyanguu JF-Expert Member Joined Sep 3, 2021 Posts 319 Reaction score 623 Jul 9, 2023 Thread starter #5 Luv said: Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa? Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili. Click to expand... Kuhifadhi ni ngumu kwangu mkuu maana sehemu ya kuhifadhi sina. Nakaa city centre Dar. Na nyumba zenyewe hizi za kupanga
Luv said: Huna sehemu ya kuyahifadhi au una changamoto inayohitaji pesa? Kama unapata sehemu ya kuhifadhi na huna changamoto ya kifedha, nakushauri yaweke dawa uyahifadhi uje uuze Bei nzuri mwezi wa kwanza au wa pili. Click to expand... Kuhifadhi ni ngumu kwangu mkuu maana sehemu ya kuhifadhi sina. Nakaa city centre Dar. Na nyumba zenyewe hizi za kupanga
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 146 Reaction score 100 Jul 19, 2023 #6 Boss wangu umeshauza mahindi au bado yapo??
Nchiyanguu JF-Expert Member Joined Sep 3, 2021 Posts 319 Reaction score 623 Jul 20, 2023 Thread starter #7 Mabala21 said: Boss wangu umeshauza mahindi au bado yapo?? Click to expand... Yapo boss. Karibu