Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Mdada mmoja kutoka JF nipe hii kitu nami nipate raha kidogo!





Obama alivyojiachia hata urais anaona hauna dhamani. Wanaume tunapenda sana wanawake zetu watudekeze kama hivyo. Unaweza ona dunia yoye yako.
Sent using Jamii Forums mobile app




Yaaani umekimbia chumbani kumbe sebuleni ndio unakuja kudai hiki nimekosea nini lakini???
Rafiki jitolee basi!

Mke wa pili wa mtu unaniita tena mimi apa babe?!Yaaani umekimbia chumbani kumbe sebuleni ndio unakuja kudai hiki nimekosea nini lakini???
Au hunitaki tena baada ya kuwa na chuchu ?
Ni kwa faida yetu babe



Sasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?Obama alivyojiachia hata urais anaona hauna dhamani. Wanaume tunapenda sana wanawake zetu watudekeze kama hivyo. Unaweza ona dunia yoye yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?
Uwe rais udekezeke.




Noma sanaSasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?
Uwe rais udekezeke.
Tatizo pesa hunaKuna vitu ukiviona unaweza jikuta unashout WHY NOT MEeeee!!
Sasa mwanamke gani wa kukudekeza hivyo mkulima wa mahindi?
Uwe rais udekezeke.
Uyo alikuanae hata kabla ya urais
Uyo sio wanawake zenu wa kibongo wanaoendeshwa kwa TAMAA ya maisha
Sent using Jamii Forums mobile app


