Mke Anatafutwa Huy Wa Kujimwaga Au Kujinadi Tumwope Kama Ukoma,mwanamke Shurute Awe Na Soni, Huyu Kesha Tumika Sana Sasa Ajitangaza
Wewe hutaki mme,ila unataka tittle kuwa nawewe ni mrs,mme bora si kiwango cha elimu wala pesa,bali mume bora ni yule anaye weza kusimama kama baba wa familia,ok elimu ni sifa za nyongeza.
angalia usije ukaolewa na degree badala ya kuolewa na mwanaume,wasichana wengi wameolewa na vyeo vya watu halafu wanachopata ktk ndoa ni kilio.
Unaeza kuta wa kiume huyu!!!!
....oooh, pls pls pls, msiniogopeshe mimi jamani! am scared right now....
why scared?what is so funny with this?seeing some one looking for a husband?
----------------kwa kweli naamini mme wangu yumo hapa!nimefunuliwa kabisa!msifikiri nimeandika kwa kucheza hapa!mimi naamini MUNGU my husband is here!
that is what i beliave!and what makes you scared!----------------
...sheer anticipation of happiness sometimes can make someone be scared!that is what i beliave!and what makes you scared!
as you know mme mwema anatoka kwa BWANA MUNGU!
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme
sifa za ninaemtaka
awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea!
elimu kuanzia masters na kupanda juu!
any one interested ani PM mengine tutafahamiana zaidi