Umejiandaa kuhudumia mkuu, maana hawa kwa mizinga hawajambo, na ndio lengo anataka kuhudumiwa sio kinginePata kunipm tuyajenge
wanasema wanapenda wanaume wanaojua matunzo sijui wamekuwa bustaniUmejiandaa kuhudumia mkuu, maana hawa kwa mizinga hawajambo, na ndio lengo anataka kuhudumiwa sio kingine
totoo. Huna haja ya kuwa jibu wapuuzi wanao tumia Lugha chafu.Hayupo
basi wewe kuwa Fatalaiza.wanasema wanapenda wanaume wanaojua matunzo sijui wamekuwa bustani
Watu wa Ushirombo kila jambo lazima maombi!!!Mungu akujazie wepesi na nguvu ili utimize haja ya moyo wako
Tehe yan mpaka leo wadau wakuachie tu.We ni bikra ??????
Nicheki Inbox we can make itHabari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote anaetaka kuwa mme pia ningetamani aje tuyajenge. Awe na sifa zifuatazo;
Awe mkristo;
Awe na umri kuanzia miaka 31 had 40;
Awe na shughuri yoyote yenye kumuingizia kipato;
Awe anajua walau kusoma na kuandika;
Asiwe muongeaji sana;
Asiwe na mke;
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.