kinyanshanani
Member
- Jul 7, 2015
- 7
- 1
Sawa binti.. .... utapata
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji wa maisha km Mimi tuwasiliane kwa email karungimiteni@yahoo.com plz naomba uwe serous na ni muhitaji kweli
Miaka 32 na mtoto juu wajiita binti, teh mtumishi acha hizo
Miaka 32 na mtoto juu wajiita binti, teh mtumishi acha hizo
Mmmh! Mwl!!Miaka 32 na mtoto juu wajiita binti, teh mtumishi acha hizo
Miaka 32 na mtoto juu wajiita binti, teh mtumishi acha hizo
Miaka 32 na mtoto juu wajiita binti, teh mtumishi acha hizo
Mtumie tu email huyo ni kabinti speshoMweeeeh..., nilikuwa nishaanza kumtumia email nilipoona hii comment yako tu nikasitisha ghafla :A S wink:
Mtumie tu email huyo ni kabinti spesho
Fuata msimamo wako mana uone wengne wanasema nini. Nadhani humfaiMweeeeh..., nilikuwa nishaanza kumtumia email nilipoona hii comment yako tu nikasitisha ghafla :A S wink:
Fuata msimamo wako mana uone wengne wanasema nini. Nadhani humfai
We hutafuti?
Mi natafuta pia kimya kimya kama Mh. mmoja.