ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Mimi ni mwajiriwa wa serikali,nna mwaka 1 na miezi nane kazini,natafuta sehemu ya kukopa yenye riba nafuu,maana nimeenda bank ya NMB unakopitia mshahara wangu,wananiambia mpaka niwe barua ya kuthibitishwa kazini,ila barua ya kuajiriwa ninayo,nna shida ya fedha kidogo ya haraka,mawazo kwenu naomba msinibeze
Yaani we umeajiriwa mwaka tu umekuwa na shida ya mkopo wa haraka.
Hakuna njia salama zaidi ya kufuata taratibu za Bank.
Hatukubezi ila tunakubezua
sh ngapi?
wewe huna shida? Au unaropoka tu,Yaani we umeajiriwa mwaka tu umekuwa na shida ya mkopo wa haraka.
Hakuna njia salama zaidi ya kufuata taratibu za Bank.
Hatukubezi ila tunakubezua
Majuzi tu ulikuwa na shida haice ukataka ukope ulipe taratibu mwenzako unataka asikope, acha hizo si kila sehemu ukoment kwenye jukwaa hili.Yaani we umeajiriwa mwaka tu umekuwa na shida ya mkopo wa haraka.
Hakuna njia salama zaidi ya kufuata taratibu za Bank.
Hatukubezi ila tunakubezua
Majuzi tu ulikuwa na shida haice ukataka ukope ulipe taratibu mwenzako unataka asikope, acha hizo si kila sehemu ukoment kwenye jukwaa hili.
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/715029-hiace-dungu-kulipa-kwa-awamu-inatakiwa.html
Mpotezee hana msaada kwako hizi ni baadhi ya thread zake, utagundua ni mtu wa aina gani.Nashangaa maana hata serikali yenyewe inakopa,,kwani tatizo liko wapi na mshahara ni wangu?hujapata tatizo ndio maana unaongea hivyo!!!!!!
Majuzi tu ulikuwa na shida haice ukataka ukope ulipe taratibu mwenzako unataka asikope, acha hizo si kila sehemu ukoment kwenye jukwaa hili.
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/715029-hiace-dungu-kulipa-kwa-awamu-inatakiwa.html
Majuzi tu ulikuwa na shida haice ukataka ukope ulipe taratibu mwenzako unataka asikope, acha hizo si kila sehemu ukoment kwenye jukwaa hili.
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/715029-hiace-dungu-kulipa-kwa-awamu-inatakiwa.html
Majuzi tu ulikuwa na shida haice ukataka ukope ulipe taratibu mwenzako unataka asikope, acha hizo si kila sehemu ukoment kwenye jukwaa hili.
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/715029-hiace-dungu-kulipa-kwa-awamu-inatakiwa.html
Unakumbuka na wewe enzi zako,ungekuwa Zanzibar ungepata rahisi sana.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/303246-heshima-zenu-wakuu.html
wakuu mimi naomba kwa yeyote mtu anayeweza kunikopesha 3mil tuwasiliane nataka niazishe biashara ndogo dhamana nitaweka,,,,
Kwe hasira ukarejea tena,huku watu wameuchuna
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-wakuu-naomba-mtu-yeyote-anikopeshe-3mil.html
kuwa makini mjini hapa,uta..
Hapa vipi
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/472197-wanawake-wa-kinyaturu.html
Hapa ulikuwa na adabu kiasi,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-shida-ila-zitofautiana-kwa-degree-flani.html
Mkeo umeodisha kweli
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kbadlisha-ktuo-cha-kaz-na-wife-sekondar.html
Kesho usirudie tena,humu watu watoa ushauri sio pesa hovyo hovyo