Natafuta mke

Natafuta mke

idrisabizzy

Senior Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
112
Reaction score
48
Ndugu wana JF mie ni kijana wa miaka 28 naishi Dar. Nimemaliza chuo na kuna sehem nafanya kazi. Natafuta mwanamke wa kuoa coz nimechoka kua single for a long time. Natafta mwanamke aliye serious na relationship.
 
Umekuja kuwatafuta humu, ina maana hao uliowapitia hawajakuridhisha hata mmoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom