Natafuta mke

Natafuta mke

govindah

Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
20
Reaction score
3
Habari zenu wanajf.
Nahitaji mwanamke umri kati ya 30~34. Elimu yake chuo, aweamejiajiri au kuajiriwa.
 
mmmhhh huo umri na kigezo cha kazi !!, weka nawewe umri wako na kazi yako
 
Duuuh.. Jpili asubuhi na mapema sana, tangazo jepesiiii la kutafuta mke..
 
Sasa miaka 34 unataka mke au unataka ajuza mkuu?
 
Na mie natafuta mke 18-23,atafurahia amani,penzi tamu na kujaliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom