Tangi Tomofu kibiki
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 118
- 74
Mbona wewe hujaweka details zako?
Nilidhan umepotekewa mke. weka mabango na kwenye mikusanyiko utapata fasta
Bro mchec Ray C, ye nae anashida kama yako
Hahaha mtafute mh wemasepetu
Taja dini yako kisha nitakuelekeza mke
Mkristo.
Mke unayenielekeza asiwe celebrit ama msanii....sawa bwana makengeza!
Sasa huyu mke ni mwislamu. Itakuwaje hapo?
Dini si kigezo kwangu....awe anahofu ya mungu tuu inatosha.
Yeye atabak kuwa muislam na mm ntabaki kuwa mkristo.
kwani ww umeshajipima kama unazaa? i hate this kind of comment
Ok. Mpigie kwa namba hii 0659179017. Mtaelewana wenyewe