Jamani nimerudi tena nilipost ombi langu hapa kuwa nahitaji mwanamke wa kumuoa nimedhamilia na wala si utani age yangu ni (30) na nimeajiriwa serikalini! niliomba kuwasiliana nami kwa Pm kwa bahati mbaya siwezi kureply kwa sababu sijatimiza masharti.
Hivyo basi nitapenda kama hutojali uliye na uhitaji kama wangu ni mwanamke please niachie na phone number or email address! I beg no jocks please! kama unaamini humu siwezi pata mke kwa njia hii nakukumbusha pia kuwa Mungu ana njia nyingi! nimelisema hili sababu I got some unpleasant comments.