acha kuwaya waya kama umekula maharage ya wapi sijui!!! mke gani unakuja kumtafuta jf usiku...hizo ni dalili za stress muzee!! hebu kimbia haraka corner baa pale utapata huyo unayemwita "mke"!! ukitoka hapo najua akili itakuwa imetulia na naamini hutarudi tena kwenye huu uzi.....haya kimbiaa haraka kabla hawajawa viporo!!!