Natafuta mke

Natafuta mke

Sekenembo

Member
Joined
Feb 8, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta mwanamke ambae nae mwenye uhitaji mkubwa kwa mume, umri wangu ni kati ya miaka 43 na 48. Naomba yule mwanamke mwenye uhitaji wa mume.

Tuwasiliane kwa ku ni PM au sekenemboh@gmail.com
 
Mke huyo wa dini gani au yoyote tuu as long as ni mke? ebu basi jitambulishe zaidi unafanya kazi au umejiajiri yani mambo kidogo yakumtia mtu nguvu ajue uko serious.....
 
usijekuta anatafuta mtu wa kumlea .. Wengi wakipata sukari hawafunction kitandani... Kama anapresha aisee kifo mkononi mda wowote unakuwa mjane
Wee Chagga Miss, Please usiwatishe watu.... ha ha ha, yaani hawajui dawa zipo siku hizi? na Kifo mkononi unakitoa wewe siku hizi?!! Khaah..
 
Wee Chagga Miss, Please usiwatishe watu.... ha ha ha, yaani hawajui dawa zipo siku hizi? na Kifo mkononi unakitoa wewe siku hizi?!! Khaah..

hapana aisee ukiona mtu anatumia dawa mda mrefu ini kufeli mda wowote mimi siwatishi.. utasema utarithi mali lakini mali ya kurithi raha uuijue jue nisiseme zaidi aku
 
Mbona hauja malizia kuwa muombaji nae awe positive na awe at least ametumia TT-VIR-30 kwa miaka mitano. Wapo utawapata subiri wakuPm!
 
hapana aisee ukiona mtu anatumia dawa mda mrefu ini kufeli mda wowote mimi siwatishi.. utasema utarithi mali lakini mali ya kurithi raha uuijue jue nisiseme zaidi aku
Mmmh, Still wazidi kututisha !! Kwani nani hapa nchini hatumii dawa ?!! Tafadhali tafakari na uonavyo wewe, Nani asiyeConsume medecine nowadays ?!!!!!
 
Unatafuta mwenye watoto wangapi? sidhani unastahili kupata kigoli. Elezea vizuri wasifu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom