Natafuta mke

Hakuna background ya kuscreen michango yako ya humu ndani ili kukuelewa wewe ni mtu wa aina gani, unajua humu tumeficha ID, ili mtu ajue we ni mtu wa aina gani anapitia michango yako.

Nimekuelewa sana tatizo sijachangia mada za humu ndani mda mrefu sana
 
Nimekuelewa sana tatizo sijachangia mada za humu ndani mda mrefu sana

Uliwahi kuwa unachangia? Maana hii inamsaidia mlengwa kufanya maamuzi kwa angalau kutumia hii michango ya ndani.

Humu ndani kumeibuka wimbi la matapeli, mtu ana ID 7 zote zinatafuta wachumba. Na hata akimpata bado anaendelea kutafuta kwa zile ID zingine.

Tuwahurumie dada zetu jamani.
 
I am serious, plz let them in
 
Kulala si lali usingizi sipati naesabu tu mabati, uko wapi nakutafuta sikupati .....
 
naona watu kama miti vile

multiple id hii au watu kama miti ikitembea

Join Date : 6th September 2014

Posts : 29
Rep Power : 308
Likes Received0
Likes Given0
 
iv nan kukudanganya umu kuna wake wakuoa? ngoja upate makaka poa sasa
 
Okey
God is good..

Naiman JF itanipa mmoja wa kweli na wa haki "someone special to wipe to tears off" .... Kwa Mara ya kwanza akipatikana wa kweli na haki hapa wana JF watasimamia kuanzia maandalizi mpaka ndoa na itakua ni JF SPECIAL COUPLE
 
Wachaa kwahiyo itakuwa kijf zaidi,!! Haya bana all the best.usikose kunialika nipo pasiasi hapa loh!!!
 
Wachaa kwahiyo itakuwa kijf zaidi,!! Haya bana all the best.usikose kunialika nipo pasiasi hapa loh!!!

Utahusika kwenye kamati, tuombe mungu nimpate huku kweli ntafurahi sana "From JF with love"
 
like like like
Inapoteza mvuto na maana ya hili jukwaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…