mhasibumkuu
Member
- Sep 6, 2014
- 43
- 6
Habari wadau, Kwa muda
mrefu sasa nimekuwa nikiishi peke yangu na sasa natangaza rasmi
nahitaji mke humu ndani nipo Mwanza nina 30yrs nimeajiriwa nahitaji
mwanamke anayejitambua asiwe mnene nahitaji awe na umbo la wastani umri
asinizidi at least awe miaka 27 kushuka chini kabila lolote dini yoyote
Kama unahitaji mume ni PM namba yako ntakupigia
lugha yako mkuu, utafikiri ulimuweka humu sa umekuja kumuijia!!! hawa watoto inahitaji kuwabembeleza, la sivyo wote utawaita shemeji
karibu mhasibumkuu. wakuu njoon uku kuna fursa.
Mkuu Mhasibumkuu,,,jina zuri sina hili na nahisi ndo mhasibumkuu,,,,,,,wapo tu subiri watakuja au ngoja nikuitie!!warembo njooni kuna fursa huku!!!!!!kwa majina siwajui sababu mi mgeni,,,,,,,,,,,
Goodluck...
Kuwa single ni namna ya kutafsiri upwekwe lakini nina majirani wa kila aina na Kwa kila mahali, ni mke tu ndo sina
pole sana kwa kuvumilia kwa muda mrefu
Mkuu bado hujapata maana umetoa fursa kwanzia jana saa 4 inaonyesha ulikiwa katika wakati mgumu sana
Kama una nia ya kweli, utapata
Mkuu bado nasubiri
Anza na hao majirani kwanza, ama majirani zako wote ni wanaume.