Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Hivi kwa nini huwa hamtumii id zenu za siku zote lakini?
Najitokeza hapa maalumu kwa jambo moja tu, Natafuta mke mwema, mcha mungu, awe mfanyakazi na awe na umri wa kuanzia miaka 20 -26, aliye serious tu.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 mfanyakazi na elimu yangu ni degree.
Awe na Elimu kuanzia form 4 na kuendelea Na awe serious tu.
Kama wewe siyo mwanamke/binti please! usini-PM-
Aliye Tayari Ani-PM.
Hivi kwa nini huwa hamtumii id zenu za siku zote lakini?
Hivi kwa nini huwa hamtumii id zenu za siku zote lakini?[/QUO
Mimi humu ni mgeni kabisa mkuu
kwa sababu id zao za siku zote tayari zina mke/mpenzi
Hahaha ili iweje kwa mfano!!!
kwa sababu id zao za siku zote tayari zina mke/mpenzi
unatafuta mke au mtu wa kukuchuna tu?
Please natafuta mke am serious on this...