Natafuta mke

Nipo serious jaman naomba wenye sifa mjitokeze.
 

wacha wee weka picha , elimu ya serikali ndo ipi hy
watakuja tu vuta subra
 
Vigezo karibia vyoooote ninavyo ila nimekosa kimoja tu! ELIMU YA SERIKALI
 
hii elimu ya serikali nadhani wengi hawana, Sijui inatolewa nchi gani hii
 
Naona kila mtu akija anaangalia makosa badala ya ujumbe, mbona typing error n jambo la kawaida sana. Au unataka nawew uonekane great thinker? Haya bhana, penye neno serikali nilimaanisha sekondari, huitaji kuwa na degree kuelewa nilicho maanisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…