Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU
Hapo kwenye: Huo ni umri wa kudivorce si wa kuoa. Understand big boy?!
Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU
Ulikua wapi siku zote izo?
Tasubiri saana!!!!!!!!!!!
sina hakika kama kuna mtu anafanikiwa kupata mke humu, mtaani kwako wote ni wake za watu? ehm jaribu utatupa mrejesho!Habari zenu!nina miaka 45,natafuta mke;awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe tayari kuanza maisha ya ndoa.KARIBU
hivi Mamndenyi alipata mchumba?
alikua na tangazo lake kule love connect kipindi flani
unatafuta mke wa ngapi? mbona hujasema!!..
45 years old kuwa single kwa kiafrika afrika, yawezekana uko divorced, ama una watoto kibao nje...
njia njema mzee!
hahahahhahahahahh, ila amelenga ndo maana anasaka wa 40'sHaaaa! mh, hebu tusubiri tuone, wadada wa humu ni waoga wa eda sana!
Visababishi ni vingi besti....you never know.
Wish him luck bhana!
ok my friend.. it may happen!
labda mwenzetu alikuwa behind the bars from his 25yrs old!
enjoy this mleta uzi!