Natafuta mke

Huu ni uchawi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
Tukiwaambia wanaooa saiv betri inasoma 2% muwe mnaelewa ๐Ÿ˜

Kwanza huwezi tafuta mwanamke ktk ombwe la watu wanaotumia utambulisho bandia, hamjuani, hamjasomana kitabia, hamjakiwasha kuona kama vitendeakazi(vitombeo) yaliyomo yamo

Pili angalia muhusika alivojieleza maelezo hayajitishelezi kbs hasemi umri wake, mitazamo ya kiimani, hali yake ya Sasa kiuchumi kiafya n.k
 
humu si watapeana mawasiliano, mengine watafahamishana taratibu huko nje๐Ÿ˜ƒ
 
Ahahahah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. kuna wamepata ndoa humu ujue?
Weka vyeti vya ndoa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhumu mtu ana ID mbili Moja ya kike Moja ya kiume anajifanyia vitu anapenda......hz fake ID hz
 
Weka vyeti vya ndoa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhumu mtu ana ID mbili Moja ya kike Moja ya kiume anajifanyia vitu anapenda......hz fake ID hz
Ahahaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ๐Ÿคญ.. ila wewe jamaa hapana kwakweli,, ila si walishawahi hata kupiga story za mapenzi huko nje jamani
 
Ahahaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ๐Ÿคญ.. ila wewe jamaa hapana kwakweli,, ila si walishawahi hata kupiga story za mapenzi huko nje jamani
Story wamepiga na wengine hadi nyeti wamelambana ila hayo yanafanyika kimkakati sana.....baada ya hapo wakichokana ndo mtu anakuja na multiple ID au anabadilisha kbs
 
Story wamepiga na wengine hadi nyeti wamelambana ila hayo yanafanyika kimkakati sana.....baada ya hapo wakichokana ndo mtu anakuja na multiple ID au anabadilisha kbs
Mambo ni mengi sana aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ