Natafuta mke

Natafuta mke

Jina: Samweli
Eneo: Moshi
Kabila: Mchaga
Umri: 35

Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7, namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali.

Nahitaji mwanamke atakayekuwa mke wangu, atakaenipenda mimi na mwanangu pia.

Awe na umri 22-33, mwenye hofu ya Mungu, na aliye-serious tujenge mahusiano na familia.

KAMA YUPO MWANAMKE ALIE SERIOUS MWENYE UHITAJI ANICHEKI DM. KARIBU SANA.
ASANTENI.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ..Pia muombe sana mungu atakupea mbora na mweny upendo wa dhat kwako na mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom