Kaweke tangazo lakoMungu akupe HITAJI LA MOYO waako
Ila ukipata wengi nigawie na mimi [emoji847]
Kwamba mtoto ni pua kila mtu anayo??35 yrs huna mtoto mkuu??
[emoji1787][emoji1787]Tugolee kwenye mkondo wa majiKaweke tangazo lako
Naishi Moshi
Umri wangu 35
Mfanyabiashara
Mkristo
Nahitaji mwenza wa maisha
Mwanamke alie serious na yuko tayari tuyajenge tuje kuoana
Umri kuanzia 25.
Mwanamke mwenye uhitaji na alie tayari anicheki DM.
View attachment 2097447
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Utaweza kula ugali kwa picha ya samaki?Nipo hapa babe[emoji2278]