Natafuta mke

Mr Bundi

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
324
414
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Nina miaka 24, natafuta mke mwema awe:
1. Muislam
2. Umri miak 18-20
3. Mwenye kujiheshim
4. Amekulia katika mazingira ya kidini (mwenye hofu ya Mungu)
4. Mweupe(Ikibidi)
5. Awe hajazaa na hajawah kuolewa.
6. Awe tayari kuolewa

Aliyetayari au mwenye ndugu/jmaa/rafiki mwenye sifa hzo ani PM.

NB sifa no 4 hata mm mwnyw sina
 
Yaani mitaani kwako umekosa, classmates umewakosa,msikitini umewakosa,.. Unatarajia kupata humu?
FB_IMG_1620379921882.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!
Nnawafahamu wengi wako single,sijui utawaweza?
Mmoja Yuko tra,mwingine toss,mwingine mabaka mabaka,mwingine wp,mwingine ticha,yaani Kama wote,Ila wanapenda mkwanja balaaa na Wana tembea huku wamekaa.
Anyway,endelea kutafuta,usije ukanilaumu baadae.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Apo kipengele ni namba2. Umri huo ndo wanapenda kujirusha, anyway kila lakheri mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom