makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,862
- 104,036
- Thread starter
-
- #81
Nakosa la kukwambia, yote kwa yote ahsante mzee..I'm happy for him mate. Sikuandika hivyo kumtakia asipate tamanio la moyo wake. Ni kwamba sikukubaliana na njisi alivyojieleza zaidi. Coz hua naamini kwenye maeleze mengi kuna uongo mwingi ila hii haimaanishi kwamba mtoa mada anaongea uongo
Hongera sheikh ngoja na mm nitafute mke wa kuoa sasa dah kumbe wapoMzee na ndoa ishapita, tuna mwezi sasa.
Hongera sana mkuu, ulimpata humu humu? Kumbe inawezekana eeh.Mzee na ndoa ishapita, tuna mwezi sasa.
Ahsante saana bandugu. Yes, nilimpata humu humu.Hongera sana mkuu, ulimpata humu humu? Kumbe inawezekana eeh.
Ahsante sheikh..Hongera sheikh ngoja na mm nitafute mke wa kuoa sasa dah kumbe wapo
Hongera sana na kila la kheri mkuu, mpate na watoto wemaAhsante saana bandugu. Yes, nilimpata humu humu.
InawezekanaHongera sana mkuu, ulimpata humu humu? Kumbe inawezekana eeh.
Ntakutumia draft pm kwanza, kabla halijafika huku😂Inawezekana
Mdada siku ukitaka kuweka tangazo lako naomba niwe wa kwanza kupata draft ya tangazo lako
Kidding
Amin, baraka za mola wetu mlezi ziwe juu yetu sote.Hongera sana na kila la kheri mkuu, mpate na watoto wema
Namshukuru mungu lilitimja, ndoa ikapita, mpunga tukautafuna, nikakakuwekea ubweche nikihisi utakuja, ila hukuja nikaupiga kiporo kesho yake.Mkuu jambo lilitimia hiyo tar iliyopangwa? Ndoa tayari? Msalimie wifi
Kumbe kuna watu serious humu, hongereni sana mkuu, kila rakheri ktk maisha ya ndoa.Namshukuru mungu lilitimja, ndoa ikapita, mpunga tukautafuna, nikakakuwekea ubweche nikihisi utakuja, ila hukuja nikaupiga kiporo kesho yake.
Salam zako nitazifikisha ndugu yangu.
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.Kumbe kuna watu serious humu, hongereni sana mkuu, kila rakheri ktk maisha ya ndoa.
Soon nakuja na uzi , umeniinspire mkuu
Ndio mkuu.Oy ulishapataga manzi humu au bado?
Humu kama jalalani, unaweza kuokota visenti viwili vi3 katika fuko la takataka.
Wapo wachache walio serious japo wanamezwa na wengi ambao ni wazinguaji
Nashukuru nilifanikiwa.!
Vipi ulifanikiwa kujipatia mke humu?
Hongera mkuu ntakuja unipe muongozoNashukuru nilifanikiwa.
Usijali chief, unakaribishwa.Hongera mkuu ntakuja unipe muongozo
Oooh! Hongera sana mkuu. Mungu akujalie ndoa njemaNashukuru nilifanikiwa.