Natafuta mke

Natafuta mke

Wadau natafuta mwanamke wa kuoa,dini mkristo,miaka 24-31,awe mpenda maendeleo,elimu form 6 na kuendelea,awe Ameajiriwa serikalini,awe dar na ASIWE NA MTOTO!! Mengine tutavumiliana,kiuchumi nipo TImamu!! Wala sio mchovu.nipo serious sana.Alo serious anichek 0753 041841.sihitaji kejeli!
Manengelo dada ako anaivo vgezo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Anatafitiwa wap mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Wadau natafuta mwanamke wa kuoa,dini mkristo,miaka 24-31,awe mpenda maendeleo,elimu form 6 na kuendelea,awe Ameajiriwa serikalini,awe dar na ASIWE NA MTOTO!! Mengine tutavumiliana,kiuchumi nipo TImamu!! Wala sio mchovu.nipo serious sana.Alo serious anichek 0753 041841.sihitaji kejeli!
Unaishi porini ama, mtaani kwetu rika lako wote ni wanaume..??
 
[emoji23][emoji23][emoji23].sitaki nnaojua tabia zao..wengi wameliwa na jamaa zangu wa karibu ,ivo itakua fedheha

humu wapo ila wanataka mwanaume alofanikiwa kimaisha,ndo mana nimekazia kwenye uzi kua nipo timamu kiuchumi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Ngoja jf uchukue niliye mkula ndiyo utagundua bora mtaani kwako..!

"Bora shetani uliyemzoea kuliko shetani mpya"
[emoji23][emoji23][emoji23].sitaki nnaojua tabia zao..wengi wameliwa na jamaa zangu wa karibu ,ivo itakua fedheha
 
Write your reply...mkuu kuna huyu anaitwa Sexless mwengine @raybyb embu waoe mmoja wapo wawe busy wasiingie humu na nyuzi zao zisizoeleweka
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nipigie pas mkuu wala hutowaona tena mana watakua busy kulea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom