Mungu akutimizie haja ya moyo wakoMimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa.
Natafuta mke mwema tujenge maisha pamoja, awe na sifa zifuatazo;
1)Dini - Mkristo, mimi ni RC though sichagui dhehebu
2)Elimu - Shahada ya kwanza na kuendelea
3)Kipato - Awe na kipato chake either kwa kujiajiri au kuajiriwa
4)Rangi - Maji ya kunde au mweupe
5)Kimo - Awe na urefu wa wastani ila sio mfupi sana wala mrefu sana. Kimo changu mimi ni 160Cm.
Kwa mengine mengi please njoo PM tuzungumze, nipo serious na Mungu akipenda ndani ya miezi 6 ya uhusiano wetu tutafunga ndoa, so kwa walio na utayari please let's make it real.
God bless you all, [emoji173]
Nunua cheti.Mbona Daudi kaweza.? Unaweza kuta ni bahati yako hii.Sisi wa std VII je???
Khaaa jamani wewe ulivyo mjibu mwenzioNunua cheti.Mbona Daudi kaweza.? Unaweza kuta ni bahati yako hii.
Nimetafakari afanyeje asiikose hii nafasi.Khaaa jamani wewe ulivyo mjibu mwenzio
Mimi nafikiri mitandao ya kijamii isichukuliwe katika sura hasi kiasi hicho. Naamin wapo wazuri wa tabia na wanaojiheshimu wake kwa waume katika mitandao hii, na tusikariri kwamba mke/mme always atapatikana maeneo fulani fulani like nyumba za ibada, makazini, mitaani n.kMnapenda kuokota wanawake wa mitandaoni,yakiwakuta ya kuwakuta mnatujazia threads humu za matusi na vijembe. Acha udomo zege,tafuta huko huko ulipo utawapata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nunua cheti.Mbona Daudi kaweza.? Unaweza kuta ni bahati yako hii.
How do I pm you? [emoji28]Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa.
Natafuta mke mwema tujenge maisha pamoja, awe na sifa zifuatazo;
1)Dini - Mkristo, mimi ni RC though sichagui dhehebu
2)Elimu - Shahada ya kwanza na kuendelea
3)Kipato - Awe na kipato chake either kwa kujiajiri au kuajiriwa
4)Rangi - Maji ya kunde au mweupe
5)Kimo - Awe na urefu wa wastani ila sio mfupi sana wala mrefu sana. Kimo changu mimi ni 160Cm.
Kwa mengine mengi please njoo PM tuzungumze, nipo serious na Mungu akipenda ndani ya miezi 6 ya uhusiano wetu tutafunga ndoa, so kwa walio na utayari please let's make it real.
God bless you all, [emoji173]
Ohooooo!!!Nunua cheti.Mbona Daudi kaweza.? Unaweza kuta ni bahati yako hii.
HahahaNunua cheti.Mbona Daudi kaweza.? Unaweza kuta ni bahati yako hii.