Natafuta mke!

Natafuta mke!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841.UWE DAR es Salaam.
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841
tusio na kazi mnatunyanyapaa
 
Awe kafika chuo!!! Haya wadada wenye elimu ya kuanzia cheti fursa hizo
 
Aya wale waliosoma chuo cha VETA fursa iyo imejitokeza
 
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa serikalini au taasisi yeyote.(tegemezi sitaki),dini na kabila lolote.tafadhali sipendi kubipiwa wala mizaha! aliyetayari anichek 0753 041841
Ambao hatujafika chuo mbona mnatubagua.Na ambao ni tegemezi??
 
Mwenye Degree ya Bachelor toka University of VETA anaruhusiwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom