Natafuta mke

Natafuta mke

mfoi

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
41
Reaction score
10
Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.

Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au kulala.
Awe na shepu la kimahaba sio kubwa sana.
Awe na Heshima mchapakazi Kitandani adi kwenyee shuguli za maishi. yakawaida kabila asiwe Mkurya au mchagga tu bahsiii mengine tutafundisha. ndugu zangu kama una dada yako au ndugu yako kakaa kiasara mpe taharifa ani Pm nampigia.
 
kumuumbe mwenyewe mwenye vigezo vyoteee aisee
 
Huyu atakufaa?

13690651_200447380357703_7826058180190767967_n-jpg.374643

Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.

Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au kulala.
Awe na shepu la kimahaba sio kubwa sana.
Awe na Heshima mchapakazi Kitandani adi kwenyee shuguli za maishi. yakawaida kabila asiwe Mkurya au mchagga tu bahsiii mengine tutafundisha. ndugu zangu kama una dada yako au ndugu yako kakaa kiasara mpe taharifa ani Pm nampigia.
 
Attachments

  • 13690651_200447380357703_7826058180190767967_n.jpg
    13690651_200447380357703_7826058180190767967_n.jpg
    54.1 KB · Views: 1,088
Ha ha ha.. Kweli JF kuna mambo,
Wenye dada zenu waliokaa kihasara hasara zari ndo hilo,
Ukiona dada yako asubuhi tu anakula vitumbua vya buku, mchana ugali nusu kilo , jion wali nusu kilo sasa ndio wakati wa kumtoa...
 
Badoo Sijapata ebu Ni PM namba nakupigia
 
Nina dada yngu hp kafeli form four kapata zero nlimpeleks hotel kusoma nako kafeli kuona hvy nmempa mtaji anzish bishara lkn mwsh biashr imekufa yaan n hasara tu vp anakufaa
 
Kwani huko unakoishi ujawaona mpaka uje humu. Mke wa kuoa atafutwi huku baba upo,
 
mimi ni muajiriwa wa sector nyeti ata muda wakutafuta tunakosa msaada dada yangu fungu lipo ukinipa msaada
 
Kwani huko unakoishi ujawaona mpaka uje humu. Mke wa kuoa atafutwi huku baba upo,
nisamehe ila ndo njia pekee sector yangu ni nyeti kidogo huwo muda nakosa msaada fungu lipo ni PM tafathali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom