Natafuta mke

Natafuta mke

Mi pia nko natafuta mme aanzie miaka 30 nakuendelea mi nna 27
 
Natumaini muwazima ....

Natafuta mwanamke nitayeanza nae mahusiano then nimuoe ,..Nina miaka 30, mwanamke asizid miaka 27 ...elimu ya kidato cha nne na kuendelea ....dini kabila rangi sibagui ....

Ukiwa serious nione pm tuyajenge
Mi pia natafuta mme awe na miaka 30 na kuendelea mi nna 27yrs sichagui din wala kabila wala muonekano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom