Habari Wana Jf.Natafuta Mke Wa Kuoa Sina Ubaguzi Wa Elimu,dn,rangi,kazi,wala Kabila,wote Mnakaribishwa.Lakini Naitaji Mwenyenyekevu Anaetambua Umhimu Wa Ndoa mwenye Umri 18-36.pia kwa sasa sina kazi kwn nimemaliza chuo mwaka huu ndo natafuta hvo nahitaji ataekua tayari kuanza nae maisha.